- Hupatikana malipo na thawabu kwa kuihudumia familia.
- Muumini hutaraji radhi za Allah katika amali yake na yale yaliyoko kwake katika malipo na thawabu.
- Ni lazima kuhudhurisha nia njema katika kila amali, na katika amali hizo ni wakati wa kuhudumia familia.