- Umuhimu swala na kutozembea katika kuitekeleza na kuilipa.
- Haitakiwi kuichelewesha swala nje ya wakati wake kwa makusudi bila udhuru.
- Uwajibu wa kulipa swala kwa aliyesahau na aliyesinzia mpaka atakapo amka.
- Uwajibu wa kulipa swala haraka hata kama ni katika nyakati zilizoharamishwa.