- Himizo la kuihifadhi swala ya Lasiri mwanzo wa wakati wake na kuiharakisha.
- Ahadi ya dhabu kali kwa atakayeiacha swala ya Lasiri ambayo ni swala ya kati kati, na kuitoa nje ya wakati wake maalum kwa amri iliyokuja katika kauli yake Mtukufu: "Zihifadhini swala na swala ya kati kati" [Al-Baqara: 238].