- Madhambi yako madogo madogo na yako makubwa.
- Kufutiwa madhambi madogo madogo kumewekwa sharti la ya kuyaepuka makubwa.
- Madhambi makubwa ni yale iliyokuja adhabu ndani yake katika dunia, au yaliyotajwa kuwa na ahadi ya adhabu huko Akhera; au Makasiriko, au kukawa na kemeo ndani yake, au kulaaniwa mfanyaji wake, kama zinaa na unywaji pombe.