- Ni sunna kusema: "Ghufraanaka" baada ya kutoka mahala pa kukidhi haja.
- Mtume rehema na amani ziwe juu yake kumtaka msamaha Mola wake katika hali zake zote.
- Inasemekana katika sababu ya kuomba msamaha baada ya kukidhi haja ni kwa sababu ya uzembe wa kushukuru neema nyingi za Mwenyezi Mungu, ikiwemo kurahisishiwa kutoka kile kinachokuudhi, na ninaomba msamaha wako kwa kushughulishwa na kukidhi haja nikaacha kukutaja.