- Kukusanya kati elimu na matendo ni kuokoka na njia ya waliokasirikiwa na waliopotea.
- Kutahadhari njia ya Mayahudi na Wakristo, na kushikamana na njia iliyonyooka ambayo ni Uislamu.
- Wote kati ya Mayahudi na Wakristo wamepotea na wamekasirikiwa, lakini sifa maalum kwa Mayahudi ni hasira, na sifa maalum kwa Wakristo ni upotovu.