- Habari njema kwa waislamu kuwa dini yao itasambaa katika pande zote za Ardhi.
- Utukufu ni kwa Uislamu na waislamu na udhalili ni kwa makafiri na ukafiri.
- Kuna dalili miongoni mwa dalili za utume na alama miongoni mwa alama zake, kiasi kwamba jambo hilo limetokea kama alivyoeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake.