- Himizo la kuelekeza katika kheri.
- Himizo la kufanya kheri ni katika sababu za kuinyanyua jamii ya kiislamu na kutoshelezana.
- Upana wa fadhila za Mwenyezi Mungu Mtukufu.
- Hadithi hii ni kanuni kuu, yanaingia hapa matendo yote ya kheri.
- Mtu atakaposhindwa kutimiza hitajio la muombaji, basi amuelekeze kwa mwingine.