- Hakuna sharti la twahara ya hadathi ndogo na kubwa kwa ajili ya kumtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu.
- Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akidumu na kumtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu.
- Himizo la kukithirisha kumja Mwenyezi Mungu Mtukufu katika nyakati zote kwa kumuiga Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-, isipokuwa katika hali ambazo zinakatazwa ndani yake kufanya hivyo, kama kukidhi haja.