- Utukufu na fadhila za elimu ya kisheria na kujifunza kwake na kuihimiza.
- Kuisimamia haki ni lazima kuwepo katika umma huu, likiwacha kusimamia kundi fulani linasimama kundi jingine.
- Kuisoma dini ni katika matashi ya Allah Mtukufu kumtakia kheri mja wake.
- Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anatoa kwa amri ya Mwenyezi Mungu na matashi yake, na yeye hamiliki chochote.