- Mikosi ni ushirikina; kwa sababu ndani yake kuna kuufungamanisha moyo kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu.
- Umuhimu wa kurudia mambo muhimu, ili yahifadhike na yakite ndani ya moyo.
- Mikosi huondolewa kwa kutegemea kwa Allah Mtukufu.
- Amri ya kutegemea kwa Allah pekee na moyo kufungamana naye Mtukufu.