- Miongoni mwa kujikalifisha kuliko katazwa: Kuuliza uliza, au mtu kujikalifisha mambo asiyo na elimu nayo, au akalikazia jambo ambalo Mwenyezi Mungu kalipa nafasi pana.
- Ni lazima muislamu ailazimishe nafsi yake wepesi na kutojikalifisha katika kauli na vitendo: Katika kula kwake, na kunywa kwake, na maneno yake, na hali zake zote.
- Uislamu ni dini ya wepesi.