- Fadhila za kupendana kati ya waumini, na kutabasamu na bashasha wakati wa kukutana.
- Ukamilifu wa sheria hii na kugusa kwake kila sekta, nakuwa imekuja na mambo yote ambayo yana masilahi kwa waislamu na kuunganisha umoja wao.
- Himizo la kutenda wema hata kama ni kidogo.
- Inapendeza kuingiza furaha kwa waislamu; kwani ndani yake kuna kuleta ukaribu baina yao.