- Imani ya Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho ndio msingi wa kila kheri, na ni msukumo wa kufanya kheri.
- Tahadhari dhidi ya maafa ya ulimi.
- Dini ya Uislamu ni dini ya ukaribu na ukarimu.
- Mambo haya ni katika vipengele vya imani na ni katika adabu njema.
- Maneno mengi yanayeweza kumvuta mtu katika machukizo au uharamu, na kusalimika na hilo ni kutozungumza ila katika kheri.