- Kuingia peponi kuna sababu zake ambazo zinaambatana na Mwenyezi Mungu Mtukufu, na miongoni mwake: Ni kumcha yeye, na sababu zinazohusiana na watu, kama: Tabia njema.
- Hatari ya ulimi kwa mtu, nakuwa ni katika sababu za kuingia motoni.
- Hatari ya matamanio na machafu kwa mwanadamu, nakuwa hayo ni katika sababu kubwa za kuingia motoni.