Imepokewa kutoka kwa Bin Omar -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na baba yake- kutoka kwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake-amesema: "Punguzeni sharubu na mfuge ndevu".
Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim
Ufafanuzi
Anaamrisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kupunguza sharubu na zisiachwe bali zipunguzwe, na azidi kupunguza zaidi.
Na pamoja na hilo anaamrisha kufuga ndevu na kuziacha zikichanua.
Hadeeth benefits
Uharamu wa kunyoa ndevu.
Share
Use the QR code to easily share the message of Islam with others