- Ukubwa wa swala la damu, kwani siku zote jambo muhimu zaidi ndio hutangulizwa.
- Dhambi huwa kubwa kulingana na madhara yanayojitokeza, na kuua nafsi isiyo na hatia ni katika madhara makubwa na hakuna kubwa zaidi yake isipokuwa ukafiri na kumshirikisha Mwenyezi Mungu Mtukufu.