Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat)

Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat)

Play
معلومات المادة باللغة العربية

Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat)

Lugha: Kiswahili
Maandalizi: Yasini Twaha Hassani
Maelezo:
Mada hii inazungumzia: Mipaka aina tano maalum ya Hijja na Umra, na yanayostahiki kufanywa sehem hizo, pia imezungumzia kafara ya mtu aliyepita Mi’qat bila ya kuhirimia au kuvaa ihram