Aina Tatu Za Ibada Ya Hijja

Aina Tatu Za Ibada Ya Hijja

Lugha: Kiswahili
Maandalizi: Yasini Twaha Hassani
Maelezo:
Mada hii inazungumzia: Aina tatu za ibada ya Hijja ambazo ni Tamatu’u, Kiran na Ifrad, pia imefafanua namna ya kutekeleza ibada hizo.